FAHAMU KUHUSU WINDOW 7
Jamani ngoja niwafungue akili wasiolewa kuhusu hili sakata la windows 7......
Wanaposema wataondoa windows 7
Sio kwamba kila aliye na windows 7 atashindwa kutumia computer yake
Waliposema hivyo wanamaanisha hawatotoa online service au offline service kwa windows 7 ....kwa mfano hawatofanya online troubleshooting kwa windows 7 na vile vile kuwapa watu driver update zozote kwa windows 7 na vile vile
Hata app watazotoa provider wa microsoft nyingi hazitokuwa priortised kwa windows 7
Hivyo basi hakuna haja ya kuhofia kila mwenye windows 7 anaweza kuendelea kutumia pc yake kama
Alivyokuwa anatumia mwanzo bila
Shida yeyote ila isipokuwa akihitaji msaada wa online kutoka microsoft akiwa na windows 7 hatoupata .......





